![]() |
| Bwawa la Mtera lilivyokauka kwa sasa |
![]() |
| Bwawa la Mtera likionekana na maji yanapofikia kwa sasa |
![]() |
| Miundo mbinu ya kienyeji inavyoathiri rasilimali maji |
![]() |
| Miundo mbinu bora ni muhimu katika usimamizi wa matumizi ya rasilimali maji kama inavyoonekana pichani |
![]() |
| Kuhama kwa mkondo wa mto kunatokana na uwepo wa mifereji holela kama picha inavyoonesha katika Mto Chimala,wilayani Mbarali. |
![]() | |||||
| Kilimo cha vinyungu na matumizi mabaya ya maji kwenye shamba lililovunwa ni kikwazo |







