Sunday, November 2, 2014

Watumiaji holela wa maji katika kilimo cha umwagiliaji wa zao la Mpunga,wilayani Mbarali katika bonde la Rufiji ni wengi kuliko wenye vibali halali,wanasiasa wadaiwa kukwamishamikakati ya utuzaji na uhifadhi wa mazingira pamoja na usimamizi wa rasilimali maji

Bwawa la Mtera lilivyokauka kwa sasa

Bwawa la Mtera  likionekana na  maji yanapofikia kwa sasa

Juu kipande cha picha kushoto kinaonesha  maji yalivyokauka,ambapo picha  ya kulia  juu na kushoto chini  hali mbaya  ya  maji ambapo picha ya chini kulia tembo  wakiwa na kiu ya maji wakisaka maji  kwa kuchimba  chini

Miundo mbinu ya kienyeji inavyoathiri rasilimali maji

Miundo mbinu bora ni muhimu katika  usimamizi wa matumizi  ya rasilimali maji kama inavyoonekana pichani

Miundo mbinu isiyozingatia utaalamu  ni kikwazo kikubwa katika usimamizi wa rasilimaali maji kama pichani inavyoonekana  wataalamu  wakiangalia mmoja wa wakulima aliyeamua kukinga  maji yasiendelee katika njia yake ya asili,wilayani Mbarali.

Kuhama kwa mkondo wa  mto kunatokana na uwepo wa mifereji holela kama picha inavyoonesha katika Mto Chimala,wilayani Mbarali.

Kilimo cha vinyungu  na matumizi  mabaya  ya maji kwenye shamba lililovunwa ni kikwazo





No comments: